Vipengele:
• Habari kuu:
Soma makala maarufu kuhusu burudani, uchumi, fedha, biashara, teknolojia, sayansi, michezo, safari, mtindo na siasa - vyote vinawasilishwa na mashirika bora ya habari ya taifa na kimataifa.
• Video zinazovuma:
Mkusanyiko wa video za hivi punde zinazosambaa na kuburdisha ili ufurahie.
• Arifa ya habari za programu:
Pata arifa za habari muhimu za hivi punde kwenye skrini yako ya mwanzo moja kwa moja.
• Fuata timu za kandanda unazozipenda:
Endelea kupata habari za kandanda za hivi punde pamoja na taarifa kutoka Premier League, Serie A, La Liga, Bundesliga, Ligue 1. Jisajili ili upate taarifa kuhusu timu zako uzipendazo na upate matokeo na matangazo ya moja kwa moja.
• Uokoaji data
Hifadhi hadi 80% ya data yako ya kifaa cha mkononi kwa mtambo wetu wa turbo wa kipekee.
• Kusoma nje ya mtandao:
Pakua hadithi zako uzipendazo ukiwa kwenye Wi-Fi na ufurahie kusoma baadaye bila mtandao.
• Hifadhi vipendwa vyako:
Alamisha vitu vizuri ulivyovipata na uhifadhi makala ili usome baadaye - hata ukiwa nje ya mtandao!
Sheria na Masharti ya Mtumiaji:
Kwa kupakua na/au kutumia bidhaa hii, unakiri na kukubali Makubaliano ya Leseni ya Mtumiaji kwenye https://www.operasoftware.com/eula/mobile na PrivacyStatement kwenye https://www.opera.com/privacy.
Ilisasishwa tarehe
23 Mei 2025